Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Dini
  • Wewe ni Nuru ya Ulimwengu

Wewe ni Nuru ya Ulimwengu

TZS 3,000
Add to cart  

Kitabu hiki ni muhimu sana kwa kila mtu  kulingana na hali ya sasa ya dunia iliyojawa na giza katika nyanja muhimu zinazotawala ulimwengu.

Si katika afya, katika uongozi, katika uchumi, katika usalama , katika usafirishaji, katika familia, katika maadili. Kila eneo lina aina yake ya giza inayotawala.

Kulingana na neno la Mungu, ushindi dhidi ya giza eneo lolote huhitaji nuru. Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.

Baada ya kusoma kitabu hiki tamani kuishi kama suluhu la giza linalotawala eneo ulilopo, ukiwa ni giza la ujinga , maradhi, umaskini  , mmomonyoko wa maadili n.k.

TAMBUA KUWA WEWE NI NURU NA HAKIKISHA NURU YAKO INAANGAZA KULIONDOA HILO GIZA.


Others Also Bought

Utakatifu
Utakatifu
TZS 7,000
Add to cart
My Life is a Gospel (Maisha yangu ni Injili)
My Life is a Gospel (Maisha yangu ni Injili)
TZS 3,000
Add to cart
Mduara wa dhambi
Mduara wa dhambi
TZS 5,000 TZS 3,500
Add to cart
Yaishi Maisha Katika Wokovu
Yaishi Maisha Katika Wokovu
TZS 5,000
Add to cart
Yesu Akawafundisha, Akisema Heri
Yesu Akawafundisha, Akisema Heri
TZS 12,000
Add to cart

Cart

Cart is empty.

Log in

Incorrect password.




Forgot password?
Create an account
Login to existing account
My orders
My reviews
My details
Log out
  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.