Wewe ni Nuru ya Ulimwengu
Kitabu hiki ni muhimu sana kwa kila mtu kulingana na hali ya sasa ya dunia iliyojawa na giza katika nyanja muhimu zinazotawala ulimwengu.
Si katika afya, katika uongozi, katika uchumi, katika usalama , katika usafirishaji, katika familia, katika maadili. Kila eneo lina aina yake ya giza inayotawala.
Kulingana na neno la Mungu, ushindi dhidi ya giza eneo lolote huhitaji nuru. Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.
Baada ya kusoma kitabu hiki tamani kuishi kama suluhu la giza linalotawala eneo ulilopo, ukiwa ni giza la ujinga , maradhi, umaskini , mmomonyoko wa maadili n.k.
TAMBUA KUWA WEWE NI NURU NA HAKIKISHA NURU YAKO INAANGAZA KULIONDOA HILO GIZA.
Recommended for you

UTAKATIFU
TZS 7,000

Mduara wa dhambi

Yaishi Maisha Katika Wokovu
TZS 5,000

Yesu Akawafundisha, Akisema Heri
TZS 12,000