Kusanya vipande vyake
Downloadable file
How to buy
Kusanya Vipande Vyake ni hadithi nzuri ya kiswahili inayomuhusu binti mmoja anaye julikana kwa jina la Furaha. Ni binti mkorofi, jeuri, kisirani, na mwenye chuki na dharau nyingi sana. Hakuna mtu anaye mpenda, na pia hajali watu wakimchukia, yupo na maisha yake binafsi ambayo watu wengi hua hawamuelewi.
Ni hadithi nzuri sana na ya kusisimu, itakayo kupa funzo kubwa maishani, na kukufanya uweze kuyatazama maisha kwa jicho la tofauti, na uanze kichukua tahadhari ambazo pengine umekua ukizipuuzia. Fuatana nami hadi mwisho wa hadithi hii tamu, na ya kusisimua, tukajifunze vitu kupitia maisha ya Furaha.
Others Also Bought
Fungate
10,000.00 TZS
Malipo ya Dhambi
7,000.00 TZS