Ndani ya mwaka mmoja
Downloadable file
How to buy
Ndani ya mwaka mmoja ni fictional emotional drama inayochanganya hisia, imani, siri na maisha yasiyo ya kawaida. Hadithi hii ikielezea safari ya kihisia inayobeba ujumbe wa upendo, matumaini na alama ambazo maisha mafupi yanaweza kuacha milele. Katika safari hiyo ya maumivu na matumaini, upendo wa mama unapimwa, imani inajaribiwa, na muda unakuwa adui mkubwa kuliko yote.