Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Offers
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Maendeleo binafsi
  • 3 Things Costing Scholars

3 Things Costing Scholars

TZS 10,000

Paperback eBook
Add to cart  

Je! uko tayari kwa maisha yako ya chuoni na baada ya chuo kuboreka? Je, ungependa kujifunza namna ya kuboresha maisha yako uwapo chuoni na baada ya chuo? Je, baada ya masomo ungependa kuonekana kama msomi wa tofauti kwenye jamii yako? Ikiwa ni hivyo unasoma kitabu sahihi!

Lengo kubwa la kuandika kitabu hiki ni kupunguza au kuondoa kabisa, tatizo la kuwa na wasomi tegemezi mtaani, na kuwa na wasomi wanaojitambua, wenye uwezo wa kupanga mipango mikakati na kutekeleza.

Basi kilichomo ndani ya kitabu hiki si vitu pekee vinavyo wagharimu wanavyuo isipokuwa kunavingine vingi, ila kwa hivi katika utafiti wangu ndio msingi wa mengine mengi kutokea, hivyo, niliamua kufafanua hivi ili angalau watu wapate maarifa haya pia kuzuia yale mengine kutokea (kitaalamu tunasema kuzuia secondary bacterial infection).


Recommended for you

Wewe ni nani?
Wewe ni nani?
TZS 5,000
View options
Hitimu kabla ya kuanza chuo
Hitimu kabla ya kuanza chuo
TZS 10,000
View options
Namna ya kuwa mtaalamu ukiwa bado unasoma
Namna ya kuwa mtaalamu ukiwa bado unasoma
TZS 15,000
View options
Kilimo cha Bustani kwa Wanafunzi kuanzia miaka 8 - 15
Kilimo cha Bustani kwa Wanafunzi kuanzia miaka 8 - 15
TZS 10,000
View options

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.