Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Books
  • Swahili books
  • Maendeleo binafsi
  • Kuenenda Kwa Kuukomboa Wakati

Kuenenda Kwa Kuukomboa Wakati

4,000 TZS  3,000 TZS
Add to cart  

Matumizi sahihi ya wakati (muda) ni changamoto kwa watu wa rika zote. Hivyo imepelekea kutokea kwa matokeo yasiyotarajiwa katika nyanja mbalimbali za maisha. 

Kitabu hiki kimekusudiwa kwa watu wa rika zote na jinsi zote, pia kitabu hiki kimekusudia kuleta utatuzi katika matumizi sahihi ya muda ili kufikia hatima nzuri ya kiroho na kimwili, pia kinaelezea mapenzi ya Mungu kuhusu muda, na zaidi kinatusaidia kuzipata Siri zilizojificha katika kuukomboa wakati. 

Matumizi sahihi ya muda ni moja ya vigezo ambavyo Mungu ameviweka ili mwanadamu aweze kufikia mafanikio yake kiroho, kimwili, kiakili na kiafya pia. Kupitia kitabu hiki utapata kujifunza kufanya kila jambo kwa wakati wake kwa kuzingatia mpango wa Mungu katika Muda, utapata pia kuelewa sababu za kutumia muda ipasavyo, faida ambazo mtu atazipata kwa kufika eneo husika kwa wakati pamoja na hasara za kutofika katika eneo kwa wakati. 

Utapata kujifunza siri zilizojificha za namna ya kuukomboa wakati n nini ufanye ili ufike kwenye eneo unalohitajika kwa wakati unaofaa. Kupitia kitabu hiki utaweza kubadilisha mtazamo wako kuhusu kuukomboa wakati, kwa kutazamia mabadiliko chanya hata kuweza kuifikia hatima yako. Jipatie nakala yako sasa.


Others Also Bought

Kuishi kama Mchwa: Njia ya Mkato ya Kufanikiwa
Kuishi kama Mchwa: Njia ya Mkato ya Kufanikiwa
7,000 TZS
Usikate Tamaa, Lipo Tumaini
Usikate Tamaa, Lipo Tumaini
7,000 TZS
Nguvu ya Kujifunza kupitia Semina na Mafunzo mbalimbali
Nguvu ya Kujifunza kupitia Semina na Mafunzo mbalimbali
2,000 TZS

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Blog
  • Support
DL Bookstore © 2026. All rights reserved. | login