Mbegu Isiyoonekana
Downloadable file
How to buy
Je, unaweza kuendelea kuamini kitu ambacho bado hujakiona? Kila mafanikio huanza kama mbegu iliyofichwa chini ya udongo. Huwezi kuona inachokifanya, lakini unaweza kuchagua kuimwagilia kila siku.
Mbegu Isiyoonekana ni safari ya imani, nidhamu na uvumilivu kwa wale wanaotaka kuendelea kufanya yaliyo sahihi hata wakati matokeo bado hayajaonekana.
Kwa sababu wakati mwingine, kile unachokisubiri hakijachelewa, kinamea.
Others Also Bought
Chochea Kipaji Chako
Grow Your Soul
8,000.00 TZS