Grow Your Soul
Nafsi ya mwanadamu ni kiini cha utu wake ama mfumo mkuu unaoendesha kila kinachomuhusu iwe ndani yake ama nje, inabeba utambulisho, fikra, maamuzi na hisia zake. Kwa mtazamo wa kina, nafsi inaweza kueleweka kama imegawanyika katika vipengele vitatu vikuu: akili (fikra), mapenzi/maamuzi (utashi), na hisia. Vipengele hivi hufanya kazi kwa pamoja ili kuunda tabia na mwenendo wa maisha ya mtu.
Others Also Bought
HILI NI NENO LA KUFAA KWAKO - Siku 21 za kukua, kujijenga na kujiimarisha kiroho