Unlock your 15% off discount
Get any book you would love to read for almost free!
Ngao ya Ajira
NGAO YA AJIRA, Ni kitabu chenye kukupa maarifa mengi,kumbuka kutojua sheria siyo tetezi mbele ya macho ya kisheria.Kitabu kimeandikwa kwa lugha rahisi ili kumwezesha msomaji kuelewa yaliyojiri ndani yake.Msomaji utajifunza na kupata maarifa mengi kuwa mjuzi katika sheria za ajira /kazi na kukufnya kufanya kazi kwa weledi kwa mujibu wa sheria na kutoyumbishwa katika ajira yako.