Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Offers
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Maendeleo binafsi
  • Ramani ya vita kwa ajili ya mwanafunzi

Ramani ya vita kwa ajili ya mwanafunzi

TZS 3,500

Paperback eBook
Add to cart  

Ushindi katika vita yeyote ile unahitaji mbinu. Vita havipiganwi kwenye uwanja wa vita. Vita vinapiganwa kwenye meza za mipango na mbinu. Kinachotokea kwenye uwanja wa vita ni utekelezaji tu. Ndio maana unaweza ukashindwa na adui ambaye ana silaha duni kuliko za kwako kama akikuzidi mbinu. Asilimia kubwa ya wanafunzi wangeweza kufikia ndoto zao kitaaluma kama wangejua mbinu. Kitabu hiki kimeandikwa makhsusi ili kukupa mbinu zakufikia ndoto zako kitaaluma.

Hiki sio vile vitabu vya kusoma mara moja halafu useme umemaliza. Kisome hadi kiwe sehemu ya maisha yako. Kisome hadi uwe unakifanyia kazi bila kutumia nguvu. Kitabu hiki nimekiombea na kina nguvu ya Mungu ya kukuwezesha kuweka kanuni hizi kwenye utendaji. Ninaamini ndoto zetu zitatukutanisha siku moja. Wewe ukitimiza za kwako na mimi nikatimiza za kwangu, tutakutana tu.


Recommended for you

Namna ya kuwa mtaalamu ukiwa bado unasoma
Namna ya kuwa mtaalamu ukiwa bado unasoma
TZS 15,000
View options
Hitimu kabla ya kuanza chuo
Hitimu kabla ya kuanza chuo
TZS 10,000
View options
Ngao ya Ajira
Ngao ya Ajira
TZS 5,000
View options

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.