Rise Up: Ujana Wako, Hatima Yako
Rise Up: Ujana Wako, Hatima Yako, ni kitabu kilichojaa mambo mengi mazuri yatakayomsaidia kila kijana kujenga msingi imara wa maisha yake.
Ni jahazi lililobeba nuru, matumaini, msukumo thabiti na wito wa kuchukua hatua stahiki, kwani ndoto pekee haitoshi kuleta matokeo chanya katika maisha mpaka pale mtu anapoamua kuchukua hatua stahiki.
Others Also Bought
Chochea Kipaji Chako
Kijana Amka Usingizini Utimize Maono Yako
4,999.00 TZS