USHINDI nyakati za kujaribiwa
Je unapita kwenye jaribu au changamoto na huoni tumaini? Hiki ni kitabu sahihi kwako. Nimeelezea Kwa kina shuhuda za kukujenga na mbinu zitakazokusaidia kushinda jaribu.
"Huu ni ushuhuda unaogusa na kubadilisha maisha. Nia yangu ya kwanza kusoma neno kwa kwa neno ilikuwa ni kwa madhumuni ya uhariri tu, lakini mwisho wake nimejikuta nikiimarishwa, nikifarijika, na kikubwa zaidi Imani yangu imekua kwa zaidi ya mara kumi kupitia ushuhuda huu unaobadilisha maisha." - Dennis Gaudence - certified John Maxwell coach, speaker, and leadership expert
Others Also Bought
Ushindi katika hali ngumu
Lishinde Jaribu
5,000.00 TZS