Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Offers
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Maendeleo binafsi
  • Uwajibikaji wenye Matokeo Chanya

Uwajibikaji wenye Matokeo Chanya

TZS 3,000

Paperback eBook
Add to cart  

Katika kitabu hiki tunajifunza kuwa kila aina ya matokeo chanya yanayohitajika kwa mtu binafsi, familia, taasisi, jamii , kanisa, nchi na ulimwengu wote kwa ujumla kuna aina ya uwajibikaji na viwango wa uwajibikaji kila mtu lazima afanye.

Kwenye  kitabu hiki utajifunza mambo mengi sana baadhi yake ni kama yafuatayo:-

  1. Nidhamu kama nguzo muhimu kuishi maisha yenye matokeo chanya na yanayoacha alama chanya.
  2. Uwajibikaji binafsi
  3. Uwajibikaji kwa familia.
  4. Uwajibikaji kwa jamii, taasisi na kwa ulimwengu.
  5. Uwajibikaji katika kuujenga ufalme wa Mungu.
  6. Ngazi kuu nane na mitazamo ya uwajibikaji inayoleta kufeli au kushinda.
  7. Majuto makuu kwa watu wanaokosa uwajibikaji.
  8. Namaba ya kuwajibika ili kuepukana na majuto ya maisha.
  9. Faida za uwajibikaji katika kupambania Malengo na ndoto zako.

Baada ya kusoma kitabu hiki, chukua hatua ya uwajibikaji wenye matokeo chanya na yanayoacha alama chanya.

NI UHAKIKA KABISA KUWA UKIFANIKIWA KUPATA NAKALA HII, UTAPATA HAMASA NA NGUVU YA UWAJIBIKAJI KWA VIWANGO VINAVYOPELEKEA MATOKEO CHANYA NA YANAYOACHA ALAMA CHANYA KWA WATU HATA UTAKAPOKUFA UTAKUMBUKWA KWA MATOKEO YA UWAJIBIKAJI WAKO.


Recommended for you

Usiishie Njiani
Usiishie Njiani
TZS 10,000
View options
Uadilifu wa Kiongozi
Uadilifu wa Kiongozi
TZS 7,500
View options
Kuanguka kwa Kiongozi
Kuanguka kwa Kiongozi
TZS 7,500
View options
Kufanyika kuwa Kiongozi
Kufanyika kuwa Kiongozi
TZS 7,500
View options

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.