Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Learn
  • Affiliates
  • Blog
  • Support
  • Sign in
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Afya na ustawi
    • Dini
    • Fasihi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Maendeleo binafsi
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
    • Wasifu na Tawasifu
  • English books
    • Business and finance
    • Health and wellness
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Free books
  • Free previews
  • Books
  • Swahili books
  • Malezi
  • Muda na Wazazi

-57%

Muda na Wazazi

7,000.00 TZS  3,000.00 TZS
()
30-day lowest price:
Add to cart
Downloadable file How to buy

Wazazi ni dhahabu. Wazazi ni nguzo ya mafundisho ya kila kijana. Hawa ndio walimu wa kwanza katika maisha yako. Kupitia Muda na wazazi wako utajifunza jinsi ya kutambua nyakati mbalimbali katika maisha yako. Wengi wameanza kuwasahau, kuwadharau na kutojifunza kutoka katika maisha yao. Je, unatambua nafasi ya kila mmoja katika familia? Kitu gani kimekuwa kikikutenganisha na mzazi wako?

Baraka, Furaha na Amani vimejificha kupitia muda na wazazi wako. Kupitia Muda na Wazazi utajifunza jinsi ya kutambua nafasi ya kila mmoja katika familia na kutoka hatua moja hadi nyingine. Utajifunza jinsi ya kuwa kijana anayeheshimu na kuthamini kila hatua anavyopitia. Wekeza juu ya wazazi wako. Usikubali kufanya makosa yanayowaumiza wengi. Kubali kubadilika na uwe mwepesi wa kujifunza.  


Others Also Bought

Ndoa Bora yenye Upako, Amani na Upendo wa Kweli
Ndoa Bora yenye Upako, Amani na Upendo wa Kweli
7,000.00 TZS
Add to cart
Shujaa wa malezi
Shujaa wa malezi
10,000.00 TZS
Add to cart
Mahusiano sumu - Viashiria 7 vya mahusiano hatarishi
Mahusiano sumu - Viashiria 7 vya mahusiano hatarishi
7,000.00 TZS
Add to cart

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • Privacy policy
  • Return policy
  • Cookies policy
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Affiliates
  • Blog
  • Support
DL Bookstore © 2026. All rights reserved | Made with ❤️ in Tanzania.