JINSI YA KUMTONGOZA MWANAMKE YEYOTE UKAMPATA: Mbinu 7 Rahisi Zilizosaidia Mamilioni ya Wanaume Duniani Kote
Downloadable file
How to buy
JINSI YA KUMTONGOZA MWANAMKE YEYOTE UKAMPATA ni kitabu cha Mwongozo wa Wanaume ambacho kinaichambua Sayansi ya Utongozaji.
Kutongoza ni Sayansi ya Akili, na tunaelewa wanaume wengi hawajui kutongoza kwa usahihi, ingawa hawawezi kukiri kwamba hawajui. Ndani ya kitabu hiki Dkt. Dyaboli anafundisha Mbinu 7 Rahisi za Utongozaji ambazo zimesaidia mamilioni ya wanaume duniani kote.
Anafafanua pia aina za utongozaji, sifa wanazotaka wanawake mwanume awe nazo, mambo ambayo hutakiwi kufanya unapokuwa unamtongoza mwanamke na Kanuni ya Dhahabu ambayo haijawahi kufeli!
Hakika, hiki ni Kitabu ambacho kila Mwanaume wa Kweli anapaswa kukisoma.
Others Also Bought
Ushauri wa Ndoa katika Mtazamo wa Kibiblia
10,000.00 TZS
Barua ya Siri kwa Wanandoa Wote
Uchumba wa sasa madhara yake
3,500.00 TZS
Mahusiano sumu - Viashiria 7 vya mahusiano hatarishi
7,000.00 TZS