Saikolojia ya Mwanamke
Saikolojia ya Mwanamke ni Kitabu cha Kumsaidia Mwanaume kuuteka Moyo wa Mwanamke anayempenda Bila Hata Kutumia Pesa kama Wengi wanavyofanya. Kitabu Hiki kinafunua Siri Ambazo kama Mwanaume utazitumia Hakuna Mwanamke Yeyote ataweza kukukataa,
Tahadhari Tu Usitumie Maarifa Haya Kuiba wake za Watu. Moja ya Siri niliyoelezea ni Ile inaitwa "LCC Principle" yaani ili uuteke Moyo wa Mwanamke Tumia Hii dozi ya "Love, Care and Concern.
Others Also Bought
Mambo 23 Yamfanyayo Mwanamke Ajute Kuolewa
10,000.00 TZS
Mahusiano 707
10,000.00 TZS
Mahusiano bora kabla na ndani ya ndoa