Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Learn
  • Blog
  • Support
  • Sign in
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Afya na ustawi
    • Dini
    • Fasihi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Maendeleo binafsi
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
    • Wasifu na Tawasifu
  • English books
    • Business and finance
    • Health and wellness
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Free books
  • Free previews
  • Books
  • Swahili books
  • Ndoa na mahusiano
  • SEXUS: Siri za Ngono Tamu

SEXUS: Siri za Ngono Tamu

7,700.00 TZS  4,900.00 TZS
()
30-day lowest price:
Add to cart
Downloadable file How to buy

Hivi unajua ni kwanini maneno Uchi, Uchizi na Uchawi yanashabihiana? Kitabu hiki kilipotoka kwa mara ya kwanza mwaka 2004 kilishutumiwa vikali na wananchi, viongozi wa dini na wanasiasa kwamba kilikuwa kinakiuka maadili. Viongozi wa dini walisema ngono iliwekwa kwa minajili ya kuzaliana tu, si vinginevyo. Rais akaagiza kitabu kifungiwe na mwandishi akamatwe.

Lakini kwanini?

Kitabu hiki sio cha kiponografia, bali ni mwongozo wa kitabibu juu ya mbinu za asili za wapenzi kuweza kuridhishana kitandani, kufanya mapenzi yao yaendelee kuwa mapya na matamu kila siku sanjari na kuzishinda kwa njia za asili changamoto zote za kingono kama vile  wanaume kuwahi kufika kileleni, upungufu wa nguvu za kiume, wanawake kuchelewa au kushindwa kufika kileleni, kukaza uke pamoja na matiti yaliyolegea na masaibu mengine mengi yanayohusiana na ngono.

Sote tunajua kwamba kufeli kwa mambo chumbani huwa ni chanzo cha sintofahamu na kuanza kusalitiana katika mapenzi.

Ngono ni mchezo, na kila mchezo una siri na kanuni zake. Kitabu hiki ni Tiba ya Chumbani.


Others Also Bought

Subiri Ndoa
Subiri Ndoa
5,000.00 TZS
Add to cart
JINSI YA KUMTONGOZA MWANAMKE YEYOTE UKAMPATA: Mbinu 7 Rahisi Zilizosaidia Mamilioni ya Wanaume Duniani Kote
JINSI YA KUMTONGOZA MWANAMKE YEYOTE UKAMPATA: Mbinu 7 Rahisi Zilizosaidia Mamilioni ya Wanaume Duniani Kote
4,970.00 TZS
Add to cart
Nuru ya Upendo
Nuru ya Upendo
5,000.00 TZS
Add to cart
Ndoa si Ndoano
Ndoa si Ndoano
10,000.00 TZS
Add to cart

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Blog
  • Support
  • Sign in
DL Bookstore © 2026. All rights reserved | Made with ❤️ in Tanzania.