Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Afya na ustawi
    • Dini
    • Fasihi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Maendeleo binafsi
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Health and wellness
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Books
  • Swahili books
  • Uchumi na biashara
  • Uchumi Wa Pili

Uchumi Wa Pili

  20,000.00 TZS

eBook
Add to cart  

Uchumi Wa Pili Ni Kitabu Kinachokuonyesha Kuwa Mafanikio Hayategemei Ajira Pekee. Katika Dunia Ya Leo, Teknolojia Na Ujuzi Vimefungua Njia Mpya Za Kujenga Kipato Na Kufikia Uhuru Wa Kifedha.

Ndani Ya Kitabu Hiki Utajifunza Kuhusu Fursa Za Kidijitali, Biashara Zinazoweza Kuanzishwa Kwa Mtaji Mdogo, Artificial Intelligence (AI), Affiliate Marketing, Web Development, Mbinu Za Kujenga Vyanzo Endelevu Vya Mapato, Pamoja Na Machimbo Ya Bidhaa Za Bei Ya Jumla Kutoka Kariakoo.

Zaidi Ya Yote, Kitabu Hiki Kitakusaidia Kubadili Mtazamo Wako Ili Uone Fursa Pale Ambapo Wengine Huona Vikwazo. Iwe Wewe Ni Mwanafunzi, Umeajiriwa, Unatafuta Ajira, Au Ni Mjasiriamali, Uchumi Wa Pili Ni Mwongozo Wa Kukuwezesha Kuingia Katika Uchumi Mpya Unaoweza Kubadilisha Maisha Yako.


Others Also Bought

Hisa, Hatifungani, Vipande: Uwekezaji kwa ukuaji wa mtaji na kipato endelevu
Hisa, Hatifungani, Vipande: Uwekezaji kwa ukuaji wa mtaji na kipato endelevu
9,999.00 TZS

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Blog
  • Support
DL Bookstore © 2026. All rights reserved | Made with ❤️ in Tanzania.