Kiongozi Mtumishi
Downloadable file
How to buy
Katika kanisa la leo, dhana ya uongozi wa kiutumishi inaporomoka kwa kasi. Tuna viongozi wengi, lakini tuna viongozi watumishi wachache. Hitaji kubwa la kanisa leo sio viongozi tu, bali viongozi watumishi. Falsafa ya uongozi aliyotuachia Yesu Kristo miaka zaidi ya 2000 iliyopita ya kuwa kiongozi ni mtumishi inatekelezwa kwa udhaifu sana.
Viongozi wengi sio watumishi tena bali ni watumikiwa. Hawapo kutumikia tena wapo kutumikiwa.
Katika kitabu hiki, mambo muhimu kuhusu Uongozi wa kiutumishi yamefundishwa, nayo yatabadilisha kabisa mtazamo wako kuhusu uongozi.
Maana ya utumishi
Utumishi katika maisha ya Yesu Kristo
Uongozi wa kiutumishi na misingi yake
Uongozi usiofaa usio wa kiutumishi
Kanuni za uongozi wa kiutumishi
Tabia za kiongozi mtumishi
Others Also Bought
Gharama za Uongozi
7,500.00 TZS
Kufanyika kuwa Kiongozi
7,500.00 TZS