Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Learn
  • Affiliates
  • Blog
  • Support
  • Sign in
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Afya na ustawi
    • Dini
    • Fasihi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Maendeleo binafsi
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
    • Wasifu na Tawasifu
  • English books
    • Business and finance
    • Health and wellness
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Free books
  • Free previews
  • Books
  • Swahili books
  • Uongozi na usimamizi
  • Maisha ya Uongozi na Kiongozi

New

Maisha ya Uongozi na Kiongozi

  15,000.00 TZS
()
30-day lowest price:
Add to cart
Downloadable file How to buy

Katika kitabu hiki cha MAISHA YA UONGOZI NA KIONGOZI yako mambo mengi mazuri ambayo ni ya kitaaluma na kiuzoefu ambayo yamefundishwa katika kitabu hiki, ambapo mafundisho haya yanalenga kuinua na kuibua kizazi bora cha uongozi ambacho kitakuwa msaada mkubwa katika huduma na jamii zetu.

Katika Maisha ya mwanadamu Mungu ameweka neema ya uongozi lakini uongozi huo hauwezi kuonekana ndani ya mtu huyo ni mpaka ameandaliwa na kusaidiwa na kupelekwa mahali pake kwenye eneo la kudhihirisha baraka na mafanikio yake, sasa katika kitabu hiki kumefundisha namna nzuri ya kumwandaa mtu kuwa kiongozi na kumfikisha katika eneo lake litakalo dhihirisha baraka na mafanikio yake.

Kila mtu anaweza kuwa kiongozi mzuri ila tu ziko sababu mbalimbali zinazochangia kumfanya mtu asiweze kufikia katika ubora wenye kumfanya adhihirishe ubora wake,kuwa kiongozi aliyefanikiwa. Baadhi ya sababu hizo zaweza kuwa ni, mazingira hafifu ya kuandalia viongozi, uzoefu mdogo wa kuwaandaa viongozi, mbinu dhaifu za kuwaandaa viongozi na kadhalika, hii ndiyo imekuwa ikipelekea watu kuona uongozi ni mgumu na si wa kutamanika.

Biblia inasema, 1Timotheo 3:1 Uaskofu ni uongozi hivyo huwezi kutamani kitu ambacho kitakuumiza, hivyo ili uongozi usituumize ni lazima kujifunza na kuwa na mbinu nzuri zenye kutuwezesha katika kazi njema ya uongozi.

 Mwisho ni kualike ndungu yangu msomaji kukisoma kitabu hiki chote kwa taratibu na umakini kwani kitabu hiki kina mambo mengi mazuri yenye kukusaidia katika kazi yako ya uongozi. Naamini kuwa baada ya kukisoma kitabu hiki yako mambo mengi makubwa na mazuri utajifunza na utabadilika katika eneo la uongozi na utakuwa ni kiongozi aliye fanikiwa.


Others Also Bought

Kiongozi Aliyefanikiwa
Kiongozi Aliyefanikiwa
10,000.00 TZS
Add to cart
Endesha Biashara kwa Faida
Endesha Biashara kwa Faida
9,999.00 TZS
Add to cart
Hisa, Hatifungani, Vipande: Uwekezaji kwa ukuaji wa mtaji na kipato endelevu
Hisa, Hatifungani, Vipande: Uwekezaji kwa ukuaji wa mtaji na kipato endelevu
9,999.00 TZS
Add to cart

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • Privacy policy
  • Return policy
  • Cookies policy
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Affiliates
  • Blog
  • Support
  • Sign in
DL Bookstore © 2026. All rights reserved | Made with ❤️ in Tanzania.