Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Courses
  • Blog
  • Support

Vitabu vitano (5) vya biashara na uchumi muhimu kuvisoma

November 6, 2023 at 12:26 pm,


Mambo yamebadilika sana miaka ya hivi karibuni. Zamani kidogo, watu walikutana na changamoto ya kukosa maarifa muhimu kuhusu biashara na uchumi hasa walipotaka kuanza kufanya biashara au kutaka kujiongezea kipato zaidi. Lakini sasa, vitabu vya biashara na uchumi vimejaa tele kwa wewe kusoma na kufaidika na maarifa ya kukusaidia kufanya biashara bila ugumu wowote.


Tumekuandalia orodha ya vitabu vitano (5) vya biashara na uchumi ambavyo ni muhimu kuvisoma na vitakuwa kama point of reference katika biashara na mambo ya uchumi.

Orodha ya Vitabu vya Uchumi na Biashara

Bonyeza kwenye majina ya vitabu hapa chini ili kupata nakala yako na kuanza safari yako ya maarifa:

  1. Usichokijua Kuhusu Biashara
  2. Ijue Biashara kwa Kina
  3. Jikomboe Kiuchumi na Ujasiriamali
  4. Jiandae Kustaafu
  5. Kurasa za Uchumi

Pay less, get more books

Get any book you would love to read for almost free!

Discount books → Start selling your book →

Vitabu vingine vya uchumi na biashara

Pia, kuna vitabu vingine vya uchumi na biashara ambavyo vinapatikana katika duka letu. Baadhi ya vitabu hivyo ni hivi vifuatavyo

  1. Mambo 7 ya Muhimu Kuhusu Fedha
  2. Ichaji Akili Yako ya Fedha
  3. Uchumi na Kanisa la Leo
  4. Elimu ya Uwekezaji
  5. Ijue Elimu ya Fedha
  6. Mpenyo - Nidhamu ya Fedha
  7. Mpenyo - Ubora na Ubunifu
  8. Njia za Kukustawisha Kiuchumi
  9. Tumia Fursa Tengeneza Biashara
  10. Mfuko wa Dharura
  11. Deni la Dhababu
  12. Kwanini Walokole Wengi ni Maskini katika Eneo la Uchumi?

BEST. AFFORDABLE. TIMELY

YOUR STORY, OUR MASTERPIECE

Our comprehensive author services include captivating book cover design, precise layout design, thorough book editing, flawless translation, and premium printing. Collaborate with us to elevate your manuscript and create a book that truly shines.

Get started → Get in touch →

Kwa vitabu vingi zaidi vya kiroho, hamasa na kadhalika, tembelea duka letu la mtandaoni hapa. Karibu kwa maoni kwenye sehemu ya comments hapa chini.



Recent Posts

  • Mapitio ya Kitabu: Mimi Ashraf — Riwaya Inayokupeleka Ndani ya Nafsi ya Mwanadamu
    3 Jun, 2026
  • Vitabu 6 Bora vya Uwekezaji na Uhuru wa Kifedha kwa Kiswahili
    20 May, 2026
  • Vitabu Bora vya Biashara Kwa Kiswahili PDF
    18 May, 2026
  • Nukuu 24 Bora kutoka kitabu cha Hisa, Hatifungani, Vipande
    8 Apr, 2026
  • Book review: Hisa, Hatifungani, Vipande - Uwekezaji kwa Ukuaji wa Mtaji na Kipato Endelevu
    6 Apr, 2026
  • Siku ya Wanawake: Sherehekea Siku Yako na Maarifa
    7 Mar, 2026
  • Unahitaji nini ili uuza kitabu chako dlbookstore.com
    2 Mar, 2026

Categories

  • Book Recommendations
  • Book Reviews
  • Help & Support
  • Offers and discounts
  • Reading Habits & Tips
  • Writing, Publishing & Author Support

Start selling your book or course on our website — reach more readers

You will enjoy high book visibility, get paid on time and receive a monthly sales report straight to your inbox.

Start selling →

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Blog
  • Support
DL Bookstore © 2026. All rights reserved | Made with ❤️ in Tanzania.