Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Books
  • Publish
  • Sell
  • Learn
  • Affiliates
  • Blog
  • Support
  • Sign in
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Afya na ustawi
    • Dini
    • Fasihi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Maendeleo binafsi
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
    • Wasifu na Tawasifu
  • English books
    • Business and finance
    • Health and wellness
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Free books
  • Free previews
  • Books
  • Swahili books
  • Dini
  • Ofisi na Karama ya Unabii katikati ya Mwili wa Kristo juu ya Nchi

Ofisi na Karama ya Unabii katikati ya Mwili wa Kristo juu ya Nchi

  30,000.00 TZS
()
30-day lowest price:
Add to cart
Downloadable file How to buy

Ofisi na karama ya Unabii ndani ya Mwili wa Kristo ni ofisi ya Upatanisho; Haiishii tu katika kusikia, kuona na kusema bali ni kuupatanisha ulimwengu na Mungu kupitia Yesu Kristo, kama ambavyo Mungu Mwenyewe alitupatanisha naye kupitia nafsi yake ambaye ni KRISTO.

Taifa la Pete Ya Muhuri ni Kanisa la Bwana Yesu Kristo, tuliopewa Ujumbe wa Uana na Ufalme wa Mungu kuuhubiri kwa mataifa duniani ili Wana wazaliwe, kujaza nchi, kuongezeka, kutiisha na kutawala pamoja na Kristo sasa na miaka elfu ijayo.

Kupitia Ujumbe huu tunang’oa, kubomoa, kuharibu, kuangamiza, ili kujenga na kupanda.

Karibu sana katika kitabu hiki cha OFISI NA KARAMA YA UNABII KATIKA MWILI WA KRISTO JUU YA NCHI sehemu ya kwanza.

Tarajia sehemu ya pili.


Others Also Bought

Utimilifu wa majuma 70 ya unabii wa kitabu cha Danieli na unabii wa siku za mwisho
Utimilifu wa majuma 70 ya unabii wa kitabu cha Danieli na unabii wa siku za mwisho
7,000.00 TZS
Add to cart
HILI NI NENO LA KUFAA KWAKO - Siku 21 za kukua, kujijenga na kujiimarisha kiroho
HILI NI NENO LA KUFAA KWAKO - Siku 21 za kukua, kujijenga na kujiimarisha kiroho
9,999.00 TZS 7,500.00 TZS
Add to cart

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Books
  • Privacy policy
  • Return policy
  • Cookies policy
  • About us
  • Publish
  • Sell
  • Affiliates
  • Blog
  • Support
  • Sign in
DL Bookstore © 2026. All rights reserved | Made with ❤️ in Tanzania.