Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Offers
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Dini
  • Tafsiri za ndoto

Tafsiri za ndoto

TZS 14,999

Hardcopy Softcopy
Add to cart  

Je, unaandamwa na ndoto zinazokutisha au kukutatanisha kwasababu huelewi zinamaanisha nini?

Watu wengi hukumbwa na mabalaa au kupoteza fursa muhimu kwasababu waliota ndoto ambazo  ziliwatahadharisha, kuwaonya au kuwapa mwongozo lakini hawakuchukua hatua yoyote kwasababu hawakuelewa ndoto hizo zilikuwa zinawambia nini. Hii ndiyo sababu imani na dini zote ulimwenguni zinautambua umuhimu na nguvu ya ndoto. Mfano mmoja mzuri unapatikana kwenye kitabu cha Mwanzo 41:1 ndani ya Biblia Takatifu na Surah Yusuf 12:43 ndani ya Kuran Tukufu. Nini kingetokea kama Yusufu asingetoa tafsiri ya ndoto zile?

Ndoto zako zinaweza kukwambia ikiwa maisha yako, kazi yako, mahusiano yako, afya yako au hata familia na wapendwa wako, viko hatarini. Kuna ndoto huwa ni maonyo na nyingine ni miongozo; zinakwambia usifanye hiki - pana hatari hapa, au fanya hiki - ndiyo njia yako ya mafanikio. Lakini kama hujui jinsi ya kutafsiri ndoto, ni dhahiri hutofanya chochote na utakumbwa na balaa au utapoteza fursa adhimu.

Ndani ya Kitabu hiki, Dkt. Dyaboli akishirikiana na Mchungaji Abel Muthembi, Sheikh Umar Al-Majid na Mganga wa Jadi Snubi wa Mandembo wanakufundisha jinsi ya kuzitafsiri ndoto unazoota ili uweze kuzitumia kama mwongozo wa mafanikio ya maisha yako.


Recommended for you

Yusufu nina ndoto
Yusufu nina ndoto
TZS 10,000
Add to cart
Msimu wa Ndoto - Tafsiri ya 'A MidSummer Night Dream'
Msimu wa Ndoto - Tafsiri ya 'A MidSummer Night Dream'
TZS 8,500
Add to cart
7 powers of the Mind - Nguvu 7 za Akili
7 powers of the Mind - Nguvu 7 za Akili
TZS 6,999
Add to cart

Cart

Cart is empty.

Log in




Forgot password?
Create account
Login to existing account
My orders
My reviews
My details
Log out
  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2018 - 2025. All rights reserved.