Msimu wa Ndoto - Tafsiri ya 'A MidSummer Night Dream'
Downloadable file
How to buy
Hadithi hii ni tafsiri ya mchezo wa William Shakespeare ujulikanao kama 'A MidSummer Night Dream'. Mchezo huu una mbinu tosha za kifasihi na matumizi mazuri ya lugha.Kazi ni ya tanu katika msururu wa tafsiri hizi ambazo za awali ni Juliasi Kaizari na Mabepari wa Venesi (Julius Nyerere); na Makbeth na Tufani (Samuel Mushi).
Kitabu hiki kitamfaa mwanafunzi wa Kiswahili katika kiwango chochote cha usomi wake. Ila, pia kitamfaidi msomaji huria anayetafuta kitabu chenye burudani kubwa kutokana na ucheshi, ushairi na uneni wa kupendeza.
Others Also Bought
Kusanya vipande vyake
6,500.00 TZS
Fungate
10,000.00 TZS