UJUZI KATIKA MAOMBI: Mwongozo wa aina 250 za maombi ya kufungua maisha yako
Mambo muhimu katika kitàbu ni
Safari ya maombi ni mlango wa kuingia katika uwepo wa Mungu,hii ni njia ambayo inamwezesha mwanadamu kuingia katika mawasiliano ya moyo kwa moyo na ukuu wa milele. Katika safari hii, roho ya mtu hugusana na Roho wa Mungu, ikimjengea mtu mazoea au uzoefu wa kutembea si kwa kuona bali kwa imani waebrania 11:6.
Jinsi ya kushughurikia hatima yako kwa njia ya maombi ya kifalme
Tabia na miiko ya mwana maombi mwenye matokeo CHANYA
Maombi na neno la Mungu,kuomba kwa kutumia MAANDIKO
Maombi na maisha ya kifedha ,kutambua dhoruba za kiroho katika UCHUMI
Ramani ya maombi ya siku 30
Mwongozo wa aina 250 za maombi yanayogusa Kila eneo la maisha yako.Haya ni maombi ya ndani sana, ambayo kila aliyeyaomba milango ya maisha yake ilifunguka kwa namna ya kushangaza.
Haya ni baadhi ya mambo yaliyosheni ndani ya kitàbu hiki cha miujiza kupita kawaida. Sasa ni zamu yako LIPIA upate nakala yako Sasa KARIBU SANA.
Others Also Bought