Unlock your 15% off discount
Get any book you would love to read for almost free!
Jinamizi
Major Sandra ni mfanyakazi wa polisi, ameipenda kazi hiyo sana kwa kuwa baba yake alikuwa poilisi muadilifu. Akitetea haki za watu kwa uaminifu mkubwa. Sifa hii ya baba yake ndio kigezo kikubwa cha Sandra naye kuwa polisi. Kuna pigo kubwa linatokea kwa Sandra linalomfanya aamue kusomea ushauri nasihi, ili aweze kuwasaidia watumiaji wa dawa za kulevya. Pia kuwasidia watu wengine waliopata maradhi ya akili kutokana na sababu mbalimbali. Fuatilia msimulizi wako kwa simulizi hii yenye mafundisho mengi.