Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Discounts
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Fasihi
  • Wasomi Wajinga

Wasomi Wajinga

TZS 15,000  TZS 7,999
Add to cart  
Wasomi Wajinga ni tamthiliya ya kisiasa inayoangazia changamoto zinazokikumba kijiji cha Nyinyoro (nchi huru ya kiafrika) na jinsi viongozi wake wanavyotumika kama vibaraka wa Watu wa Chaki (Wazungu). Inajaribu kufichua nani ni nani, kwanini mambo yanakwenda yanavyokwenda, na kuangalia uwezekano wa kukikomboa kijiji toka kwenye meno ya Wanyinyoro walafi na Watu wa Chaki. Mmoja wa wanakijiji anasema ‘Kwakweli hali ni tete; majalalani sasa mbwa na paka wanakula hadi viatu! Nani wa kutupa ugali? Kila kitu kimepanda bei isipokuwa pombe, sigara na kondom. Sura za watu zimezidi kuwa mbaya maradufu. Wanaume watapata wapi nguvu za kiume na hali ya maisha ilivyo?’  Vilio vimetapakaa. Wanaikumbuka kauli-mbiu ya kiongozi aliyepita:

‘Usipojikaza Unakazwa!’

Recommended for you

Nitaiambia nini familia yangu
Nitaiambia nini familia yangu
TZS 10,000
Add to cart
Chozi la Mama
Chozi la Mama
TZS 5,000
Add to cart
Mzimu wa Kichaa
Mzimu wa Kichaa
TZS 10,000
Add to cart

Cart

Cart is empty.

Log in




Forgot password?
Create account
Login to existing account
My orders
My reviews
My details
Log out
  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2018 - 2025. All rights reserved.