Unlock your 15% off discount
Get any book you would love to read for almost free!
Nitaiambia nini familia yangu
NITAIAMBIA NINI FAMILIA YANGU ni kitabu maalumu kwa jinsia zote, kinaonesha jinsi gani familia zetu huumia sana pale tunapoharibikiwa katika maisha yetu. Hivyo kitabu hiki kinamtahadharisha kijana awe makini na kujitahidi kuzishinda changamoto hasi zinazoweza kuharibu maisha yake kwa namna moja au nyingine. Kwa wazazi au walezi kitabu hiki kinatumika kama shule ya kusaidia kumwelekeza mwanao namna bora ya kujitunza ili aweze kufikia ndoto zake.