Skip to main content
DL Bookstore
  • Home
  • Get books
  • Author services
  • Courses
  • Blog
  • Support
  • All books
  • Offers
  • Swahili books
    • Dini
    • Fasihi
    • Maendeleo binafsi
    • Malezi
    • Ndoa na mahusiano
    • Uchumi na biashara
    • Uongozi na usimamizi
    • Vitabu vya kiada
  • English books
    • Business and finance
    • Literature
    • Parenting and relationships
    • Personal development
    • Religion and spirituality
    • Textbooks
  • Children's books
  • Online courses
  • Free books
  • Get books
  • Swahili books
  • Maendeleo binafsi
  • Majeraha na Maumivu ya Kihisia

Majeraha na Maumivu ya Kihisia

TZS 7,000

Paperback eBook
Add to cart  

Sote tumewahi kuumizwa kihisia. Kunaweza kuwa na utofauti wa kuumizwa kwetu na maumivu, na aina ya kuumizwa kwetu, ukweli unabakia kwamba watu wengi wanapigana na aina fulani ya vita vya kihisia na wanahitaji kuponywa kutoka kwenye majeraha yao. 

Kitabu hiki ni moja ya vitabu bora  vya  ushauri wa kihisia ambacho kimejielekeza katika kutoa mjawabu kwa  maswali kuhusu majeraha na maumivu ya kihisia  ambayo watu wengi wamekuwa wanajiuliza,  kama vile majeraha ya kihisia ni nini? kuna tofauti gani kati ya maumivu ya kihisia na maumivu ya kimwili?  Kwa nini maumivu ya kihisia yana tuathiri zaidi kuliko maumivu ya kimwili?  Nini kina sababisha maumivu ya kihisia na dalili zake ni zipi ?  Kuna  madhara gani  yanayosababishwa na majeraha ya kihisia ambayo hayajatibiwa? Ni hatua gani  za uponyaji ambazo mtu anaweza kuchukua ili kupona kutoka kwenye maumivu ya kina  ya kihisia? kitabu hiki ni msaada kwa watu wote wenye maumivu ya kihisia  na kwa wale wanaofanya huduma ya kuwashauri na kuwasaidia watu wenye maumivu ya kihisia.


Recommended for you

Ushindi katika hali ngumu
Ushindi katika hali ngumu
TZS 7,000 TZS 6,500
View options
Changamoto Ya Afya Ya Akili, Suluhisho Na Sheria Yake Nchini Tanzania
Changamoto Ya Afya Ya Akili, Suluhisho Na Sheria Yake Nchini Tanzania
TZS 7,000
View options
Kuanguka kwa Kiongozi
Kuanguka kwa Kiongozi
TZS 7,500
View options
Jipu ndani ya ubongo - Simulizi ya kweli
Jipu ndani ya ubongo - Simulizi ya kweli
TZS 15,000
View options

Cart

Cart is empty.

  • Home
  • Get books
  • About us
  • Author services
  • Blog
  • Support
  • Client portal
DL Bookstore © 2025. All rights reserved.