Unlock your 15% off discount
Get any book you would love to read for almost free!
Upekee wako Utajiri wako
Kitabu hiki kimelenga kumsaidia mtu kujua uwezo aliokuwa nao unaoweza kumpatia nafasi ya kukua, kustawi na kufanikiwa kutokana na uhusiano aliyokuwa nao na Muumba wake. Pia vitu vya kuzingatia ili huo uwezo ufanye kazi kwa ubora zaidi.