Unlock your 15% off discount
Get any book you would love to read for almost free!
Bora Kifo
Lui ni msichana aliyezaliwa katika mila na utamaduni wa tohara kwa wanawake. Hii huwa inafahamika kama ukeketaji, kwenye mila na utamaduni wao huwa “wewe hauko safi kwa ajili ya kuolewa na mwanamme yeyote bila kufanyiwa tohara.” Kufanyiwa tohara huku Lui kunamletea matatizo makubwa kiasi anona Bora kifo. Fuatilia msimulizi wetu wa simulizi hii ujue nini kitampata Lui.