Kisasi Cha Mama
()
30-day lowest price:
Downloadable file
How to buy
AuthorAnsgar Remigius Haule
Pages42
LanguageSwahili & English
Kisasi cha Mama ni riwaya inayosimulia maisha ya Lily, msichana aliyefiwa na mama yake baada ya kubakwa na mchungaji. Lily anakulia katika mazingira ya siri, huzuni na changamoto za kiafya, akiamini kuwa ana maambukizi ya virusi vya UKIMWI.
Anapokua, anakutana na usaliti, unyanyapaa na maumivu ya kihisia yanayomfanya atamani kulipiza kisasi kwa ajili ya mama yake.
Kupitia safari yake, riwaya inaibua masuala ya ukatili wa kijinsia, matumizi mabaya ya madaraka, upendo, msamaha na umuhimu wa kusema ukweli. Ni simulizi linalogusa moyo na kufundisha jamii kuhusu haki na utu
Share this book and earn 10%
The author listed this title in our affiliate program. Join the affiliate program to get your own link and earn 10% of every sale you refer.
